AjiraMpyaLogo

afisa ardhi ii (land officer ii) - 10 post

Vacancy Details

POST:

AFISA ARDHI II (LAND OFFICER II) - 10 POST

EMPLOYER:

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

APPLICATION TIMELINE::

2024-12-07 2024-12-17

JOB SUMMARY:

NIL

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

       i.        Kusimamia uingizaji wa kumbukumbu katika Kompyuta.

     ii.        Kushughulikia utayarishaji wa nyaraka za kisheria

   iii.        Kufanya ukaguzi wa viwanja

     iv.        Kutoa notisi na kupendekeza ubadilishaji wa milki kwa viwanja visivyoendelezwa kwa mujibu wa sheria.

    v.        Kuwasiliana na wateja kuhusu hati zilizotayarishwa na kuwakabidhi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wenye shahada/stashahada ya juu katika fani ya Usimamizi wa ardhi na Uthamini au shahada ya Sheria kutoka vyuo vinavotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION:

TGS E

CLICK HERE TO APPLY