AjiraMpyaLogo

afisa usajili msaidizi ii ( registration assistant ii) - 8 post

Vacancy Details

POST:

AFISA USAJILI MSAIDIZI II ( REGISTRATION ASSISTANT II) - 8 POST

EMPLOYER:

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

APPLICATION TIMELINE::

2024-12-07 2024-12-17

JOB SUMMARY:

NIL

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

       i.    Kupokea na kuingiza kumbukumbu za hati katika kompyuta.

      ii.    Kufungua majalada ya hati mpya.

    iii.    Kupokea maombi na kutayarisha taarifa za uchunguzi wa hati (Search Report).

   iv.    Kufunga hati zilizokamilika (Binding) na kuziwasilisha masjala.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wenye cheti cha Uthamini na Usimamizi wa Ardhi kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION:

TGS B

CLICK HERE TO APPLY