AjiraMpyaLogo

fundi sanifu ii - upimaji ardhi (land technician survey ii) - 26 post

Vacancy Details

POST:

FUNDI SANIFU II - UPIMAJI ARDHI (LAND TECHNICIAN SURVEY II) - 26 POST

EMPLOYER:

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

APPLICATION TIMELINE::

2024-12-07 2024-12-17

JOB SUMMARY:

NIL

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

     i.         upanga na kuandaa mahitaji ya kambi za upimaji vifaa vya upimajoi na mahitaji ya jumla

   ii.         Kufanya upimaji wa awali na kusimika ardhini alama za upimaji

   iii.         Kufanya upimaji na kukusanya taarifa na takwimu zote za upimaji

   iv.         Kuchora “Sketch” ya mchoro ya upimaji

    v.         Kufanya mahesabu ya upimaji

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wenye stashahada ya kawaida katika fani ya Upimaji wa ardhi kutoka vyuo vinavotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION:

TGS C

CLICK HERE TO APPLY