AjiraMpyaLogo

mteknolojia wa samaki daraja la ii (fish technologist ii) - 7 post

Vacancy Details

POST:

MTEKNOLOJIA WA SAMAKI DARAJA LA II (FISH TECHNOLOGIST II) - 7 POST

EMPLOYER:

Wizara ya Mifugo na Uvuvi-UVUVI

APPLICATION TIMELINE::

2024-12-07 2024-12-17

JOB SUMMARY:

NA

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

Kutoa ushauri juu ya utayarishaji, uchakataji, ukaushaji na uhifadhi wa samaki na mazao ya uvuvi;

ii.Kukagua na kusimamia ubora wa mazao ya uvuvi na mwani kulingana na viwango vya kitaifa ana kimataifa;

iii.Kusimamia na kushauri kuhusu Kanuni za udhibiti ubora wa mazao ya uvuvi na mwani;

iv.Kudhibiti ubora wa samaki katika mialo, masoko, viwanda na maghala;

v.Kudhibiti usafi katika maeneo ya kupokelea samaki na mwani;

vi.Kukagua viwanda vinavyochakata, maghala ya kuhifadhia mazao ya uvuvi na vyombo vya usafirishaji wa mazao ya uvuvi kulingana na “HACCP” (Hazard Analysis Critical Control Point);

vii.Kuhakiki nyaraka mbalimbali za uzalishaji na usafirishaji wa mazao ya uvuvi na mwani; 

viii.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wa Kitengo zinazohusiana na fani yake.

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wenye mojawapo wa Shahada za fani za Fish Technology, Marine Biology and Applied Microbiology, Fisheries Sciences and Microbiology kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam; Sayansi ya Chakula (Food Technology and Microbiology) kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine au sifa inayolingana na hiyo kutoka vyuo vikuu vingine vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION:

TGS D

CLICK HERE TO APPLY