AjiraMpyaLogo

mwalimu daraja la iii b - somo la chakula na vinywaji, mauzo na huduma (food and bevarage, sales and services) - 1 post

Vacancy Details

POST:

MWALIMU DARAJA LA III B - SOMO LA CHAKULA NA VINYWAJI, MAUZO NA HUDUMA (FOOD AND BEVARAGE, SALES AND SERVICES) - 1 POST

EMPLOYER:

Mkoa wa Njombe

APPLICATION TIMELINE::

2024-12-13 2024-12-20

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango

wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;

ii. Kutengeneza na Kufaragua zana za kufundishia na kujifunzia;

iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya

Wanafunzi;

iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;

v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri

nasaha na unasihi;

vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;

vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na

viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa mwenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita ambaye amefaulu masomo mawili au zaidi yanayofundishwa shuleni na kufaulu mafunzo ya Stashahada ya Ualimu ya miaka miwili (2) yenye somo la kufundishia la Chakula na vinywaji, mauzo na huduma (Food and bevarage, sales and services) kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.

 

AU Wenye Stashahada isiyo ya Ualimu katika fani ya Huduma ya Chakula, vinywaji na mauzo (Food and bevarage, sales and services). Waombaji ambao hawana somo la UALIMU ni lazima wawe tayari kupata mafunzo ya UALIMU baada ya kuajiriwa

REMUNERATION:

TGTS-C

CLICK HERE TO APPLY