AjiraMpyaLogo

mwalimu daraja la iii b - somo la ufundi wa bomba (plumbing and pipe fitting) - 1 post

Vacancy Details

POST:

MWALIMU DARAJA LA III B - SOMO LA UFUNDI WA BOMBA (PLUMBING AND PIPE FITTING) - 1 POST

EMPLOYER:

Mkoa wa Rukwa

APPLICATION TIMELINE::

2024-12-13 2024-12-20

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango

wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;

ii. Kutengeneza na Kufaragua zana za kufundishia na kujifunzia;

iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya

Wanafunzi;

iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;

v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri

nasaha na unasihi;

vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;

vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na

viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya

Shule.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa mwenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita ambaye amefaulu masomo mawili au zaidi yanayofundishwa shuleni na kufaulu mafunzo ya Stashahada ya Ualimu ya miaka miwili (2) yenye somo la kufundishia la ufundi bomba (Plumbing and Pipe Fitting) kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.

 

 AU Wenye Stashahada isiyo ya Ualimu katika fani ya Ufundi wa Bomba (Plumbingand Pipe Fitting). waombaji ambao hawana somo la UALIMU ni lazima wawe tayari kupata mafunzo ya UALIMU baada ya kuajiriwa.

 

REMUNERATION:

TGTS- C.

CLICK HERE TO APPLY