Vacancy Details
POST:
MWALIMU DARAJA LA III C - SOMO LA UASHI (MASONRY AND BRICKLAYING) - 1 POST
EMPLOYER:
Mkoa wa Ruvuma
APPLICATION TIMELINE::
2024-12-13 2024-12-20
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango
wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
ii. Kutengeneza na Kufaragua zana za kufundishia na kujifunzia;
iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya
Wanafunzi;
iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri
nasaha na unasihi;
vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na
viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya
Shule.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la kufundishia la ufundi uashi (Masonry and Bricklaying)
AU Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la ufundi uashi (Masonry and Bricklaying) pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali.
AU Wenye Shahada isiyo ya Ualimu katika fani ya uhandisi ujenzi (Civil Engineering). Waombaji ambao hawana somo la UALIMU ni lazima wawe tayari kupata mafunzo ya UALIMU baada ya kuajiriwa.
REMUNERATION:
TGTS D