AjiraMpyaLogo

mwalimu daraja la iii c - somo la uchomeleaji na utengenezaji wa vyuma (welding and metal fabrication) - 1 post

Vacancy Details

POST:

MWALIMU DARAJA LA III C - SOMO LA UCHOMELEAJI NA UTENGENEZAJI WA VYUMA (WELDING AND METAL FABRICATION) - 1 POST

EMPLOYER:

Mkoa wa Iringa

APPLICATION TIMELINE::

2024-12-13 2024-12-20

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango

wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;

ii. Kutengeneza na Kufaragua zana za kufundishia na kujifunzia;

iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya

Wanafunzi;

iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;

v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri

nasaha na unasihi;

vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;

vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na

viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

 

Kuajiriwa wenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la kufudishia la ‘’Mechanical Engineering’’) kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali

 

AU Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la ’Mechanical Engineering) pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali.

 

AU Wenye Shahada isiyo ya Ualimu katika fani ya ‘’Mechanical Engineering’’. Waombaji ambao hawana somo la UALIMU ni lazima wawe tayari kupata mafunzo ya UALIMU baada ya kuajiriwa.

 

REMUNERATION:

TGTS-C

CLICK HERE TO APPLY