AjiraMpyaLogo

tabibu wa kinywa na meno daraja la ii (dental therapist ii) - 75 post

Vacancy Details

POST:

TABIBU WA KINYWA NA MENO DARAJA LA II (DENTAL THERAPIST II) - 75 POST

EMPLOYER:

MDAs & LGAs

APPLICATION TIMELINE::

2025-01-07 2025-01-20

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

 i.Kazi zote zinazofanywa na Tabibu Msaidizi.

ii.Kutambua na kutibu magonjwa ya kawaida.

iii.Kusimamia utendaji wa watumishi walio chini yake na kufanya upasuaji mdogo.

iv.Kushiriki katika kupanga na kutekeleza Huduma za Afya Msingi.

v.Kushauri na kuhamasisha wananchi kuchangia huduma za Afya za Mfuko wa Afya ya Jamii.

vi.Kuweka kumbukumbu za vifaa na zana za kutolea huduma.

vii.Kuweka kumbukumbu, kuandaa na kutoa taarifa za utekelezaji.

viii.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wenye Stashahada ya Tabibu wa Meno(Diploma in Clinical dentistry) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, pia awe amesajiliwa na Baraza la Madaktari.

REMUNERATION:

TGHS B

CLICK HERE TO APPLY