AjiraMpyaLogo

daktari bingwa daraja ii (internal medicine ii) (physician) ii - 5 post

Vacancy Details

POST:

DAKTARI BINGWA DARAJA II (INTERNAL MEDICINE II) (PHYSICIAN) II - 5 POST

EMPLOYER:

Wizara ya Afya

APPLICATION TIMELINE::

2025-03-06 2025-03-19

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali katika fani husika. 

ii.Kupanga, kusimamia na kutathimini huduma katika wilaya au mikoa 

iii.Kufundisha wanafunzi katika vyuo vya afya vilivyo eneo lake la kazi 

iv.Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa 

v.Kutayarisha elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya. 

vi.Kufundisha na kuelekeza watumishi walio chini yake 

vii.Kusimamia wafanyakazi walio chini yake 

viii.Kubuni, kuendesha na kutathimini utafiti na kusambaza matokeo 

ix.Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake 

x.Kutoa huduma za outreach katika kanda 

xi.Kutoa huduma za medical legal

xii.Kushiriki katika kutengeneza na kusimamia utekelezaji wa Sera na Mipango ya Serikali juu ya afya 

xiii.Kushauri wizara kuhusu uendeshaji wa shughuli za afya nchini. 

xiv.Kushiriki katika kamati ya jopo la madaktari (medical board) kwa ajili ya kustaafisha wafanyakazi kwa matatizo ya kiafya. 

xv.Kutayarisha mitaala ya elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya. 

xvi.Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya 

xvii.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wenye shahada ya uzamili ya Udaktari Bingwa katika fani ya Internal Medicine (M.Med au PhD kwenye fani ya Udaktari) ya miaka mitatu au zaidi kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali. Wawe wamesajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).

 

REMUNERATION:

TGHS G

CLICK HERE TO APPLY