AjiraMpyaLogo

daktari wa upasuaji kinywa na meno ii(dental surgeon ii) - 4 post

Vacancy Details

POST:

DAKTARI WA UPASUAJI KINYWA NA MENO II(DENTAL SURGEON II) - 4 POST

EMPLOYER:

Wizara ya Afya

APPLICATION TIMELINE::

2025-03-06 2025-03-19

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na    
magonjwa ya kinywa na meno.
ii.    Kutoa na kusimamia elimu ya afya ya kinywa na meno.
iii.    Kuboresha afya ya kinywa na meno katika eneo lake la kazi na
iv.    jamii.
v.    Kuziba/kukarabati meno, upasuaji, utengenezaji wa meno, kurekebisha mataya (orthodontics)
vi.    Kusimamia wafanyakazi walio chini yake
vii.    Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa
viii.    Kufundisha wanafunzi katika vyuo vya afya vilivyopo eneo lake la kazi
ix.    Kubuni na kuendesha utafiti na kusambaza matokeo
x.    Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake
xi.    Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya ya kinywa na meno
xii.    Kushiriki, kuhakiki na kuboresha huduma za afya (medical audit and quality improvement)
xiii.    Kutoa huduma za outreach katika wilaya/mkoa wake
xiv.    Kutunza takwimu na kuzitumia kama inavyoelekezwa katika misingi ya MTUHA
xv.    Kupanga na kutathimini huduma za afya ya kinywa na meno katika eneo la kazi
xvi.    Kufanya utafiti katika maeneo mbali mbali ya afya ya kinywa na meno
xvii.    Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wenye Shahada ya Udaktari wa Meno kutoka Vyuo Vikuu/Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali waliomaliza “Internship” na kupata usajili kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).

REMUNERATION:

TGHS E

CLICK HERE TO APPLY