Vacancy Details
POST:
FUNDI SANIFU UJENZI II (TECHNICIAN CIVIL II) - 33 POST
EMPLOYER:
Wizara ya Afya
APPLICATION TIMELINE::
2025-03-06 2025-03-19
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
FUNDI SANIFU UJENZI II (TECHNICIAN CIVIL II)
i.Kufanya kazi za ujenzi wa kuta za nyumba na kupaka rangi na kufunga mabomba;
ii.Kuchonga vifaa vya nyumba za serikali ikiwa ni pamoja na samani “furniture”;
iii.Kufanya kazi za upimaji (survey) wa barabara, majengo na mifereji kama atakavyoelekezwa;
iv.Kuwapangia kazi Mafundi sanifu wasaidizi na kuhakikisha wanamaliza kama ilivyopangwa.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
i.Waliohitimu kidato cha VI na kufuzu mafunzo ya ufundi ya miaka miwili kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali katika fani za fundi ujenzi;
ii.Waliohitimu kidato cha IV na kufuzu kozi ya ufundi ya miaka mitatu kutoka Vyuo vya Ufundi vinavyotambuliwa na Serikali katika fani za fundi ujenzi;
iii.Wenye Stashahada ya Kawaida katika fani za fundi ujenzi kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali
REMUNERATION:
TGS C (MOH)