Vacancy Details
POST:
MKADIRIAJI MAJENZI DARAJA LA II (QUANTITY SURVEYOR II) - 5 POST
EMPLOYER:
MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE::
2025-02-19 2025-02-28
JOB SUMMARY:
NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.Kuandaa mipango na makisio ya gharama za ujenzi na zabuni (bill of quantities);
ii.Kukagua na kutathmini kazi miradi mbalimbali inayoendelea kwa ajili ya malipo;
iii.Kukusanya takwimu za bei za vifaa vya ujenzi kwa ajili ya miradi mbalimbali;
iv.Kuandaa na kutathmini gharama za kazi za ziada zinapotokea (Valuation of Variations);
v.Kuandaa mahitaji ya miradi ya ujenzi (Project Resources); na
vi.Kufanya kazi zingine atakayopangiwa na msimamizi wake kulingana na kada yake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa mwenye Shahada/Stashahada ya juu katika mojawapo ya fani zifuatazo; Construction Management, Building Survey, Building Economics, Qauntity Surveying, Construction Economics au sifa nyingine zinazolingana na hizo kutoka katika Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali. Awe amesajiliwa kama Mkadiriaji Majenzi Mhitimu (Graduate Quantity Surveyor) na Bodi ya Usajili Wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB).
REMUNERATION:
TGS.E