Vacancy Details
POST:
MPISHI DARAJA LA PILI II (COOK II)(RE-ADVERTISED) - 51 POST
EMPLOYER:
MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE::
2025-02-10 2025-02-20
JOB SUMMARY:
OK
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i. Kupika vyakula vya aina mbalimbali;
ii. Kutayarisha orodha ya vyakula vya mlo kamili (Balanced Diet);
iii. Kuhakikisha vyombo vya kupikia vyakula vinakuwa safi; na
iv.Kufanya kazi nyingine atakazoagizwa na Msimamizi wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne waliofuzu mafunzo ya cheti yasiyopungua mwaka mmoja katika fani ya “Food Production” kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION:
TGS.C