Vacancy Details
POST:
MSAIDIZI WA AFYA (HEALTH ASSISTANT) - 50 POST
EMPLOYER:
MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE::
2025-03-27 2025-04-07
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i. KuchukuaSampulizaMajinaChakulanakuzipelekakwaafisaafyamazingira au afisa afya mazingira msaidizi
ii. Kutambuanakuwekakumbukumbuyavyanzovyamaji
iii. Kuandaaramaniyamaeneoyenyeuchafuziwamajiilikuchukuahatua zinazotakiwa
iv. Kushirikiana na kamatiza majiza vijiji, na mitaa katika kuhakikishausalama wa vyanzo vya maji
v. Kuhamasishajamiikulindavyanzovyamaji
vi. Kuhamasishajamiikujenganakutumiavyoobora
vii. Kusaidiakuuelimishajamiikuhusutabianjemazausafi
viii. Kutoataarifazamilipukoyamagonjwakwamkuuwakekazi
ix. Kuhamasishajamiikubuni,kupanga,kutekelezanakusimamiamipango shirikishi jamii ya afya ya mazingira
x. Kufanyaukaguziwanyumbakwanyumba
xi. Kufanyaukaguziwanyumbazakuishinabiashara
xii. Udhibitiwatakahatarizikiwamotakazitokanazonahudumazaafya
xiii. Kusimamiasheriandogondozaafyamazingirana;
xiv. Kufanyakazinyingineatakazopangiwanamkuuwakewakazizinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne wenye cheti cha mafunzo ya Msaidizi wa Afya kutokachuokinachotambuliwanaSerikali
REMUNERATION:
TGHS A