AjiraMpyaLogo

mteknolojia wa radiografa daraja ii-radiolojia (radiography technologist ii – radiology) - 7 post

Vacancy Details

POST:

MTEKNOLOJIA WA RADIOGRAFA DARAJA II-RADIOLOJIA (RADIOGRAPHY TECHNOLOGIST II – RADIOLOGY) - 7 POST

EMPLOYER:

Wizara ya Afya

APPLICATION TIMELINE::

2025-03-06 2025-03-19

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kuwapima wagonjwa wanaolekezwa kwenye eneo lake la kazi
ii.    Kutunza mitambo na vifaa vya Radiolojia katika eneo lake la kazi
iii.    Kukagua picha za X-Ray zilizopimwa kwa ubora na kutosheleza (diagnostic quality)
iv.    Kutunza    picha    za    wagonjwa    hadi    majibu
yanapowafikia    madaktari         waliowatuma wagonjwa
v.    Kusimamia watumishi walio chini yake
vi.    Kutoa Ushauri kuhusu masuala ya na kazi za Radiolojia na Mionzi katika eneo lake la kazi.
vii.    Kuandaa vifaa vya tiba/uchunguzi na kusimamia utakasaji vifaa katika eneo lake la kazi (sterilization)
viii.    Kutoa mafunzo ya awali kwa watumishi wanaopangiwa kazi katika eneo lake la kazi.
ix.    Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya teknolojia ya Radiolojia kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, ambao wamesajiliwa na Baraza la Waatalum wa Mionzi Tanzania.

REMUNERATION:

TGHS B (MOH)

CLICK HERE TO APPLY