Vacancy Details
POST:
MWALIMU DARAJA LA III B - (REFRIGERATION AND AIR CONDITIONING)(RE-ADVERTISED) - 8 POST
EMPLOYER:
MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE::
2025-02-10 2025-02-20
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango
wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
ii. Kutengeneza na Kufaragua zana za kufundishia na kujifunzia;
iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya
Wanafunzi;
iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri
nasaha na unasihi;
vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na
viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa mwenye cheti cha mafunzo ya Stashahada ya Ualimu yenye somo la kufundishia la “Refrigeration and air conditioning” kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.
AU Wenye Stashahada isiyo ya Ualimu katika fani ‘’Refrigeration and Air Conditioning au Mechanical Engineering’’. Waombaji ambao hawana somo la UALIMU ni lazima wawe tayari kupata mafunzo ya UALIMU baada ya kuajiriwa.
REMUNERATION:
TGTS-C