AjiraMpyaLogo

mwalimu daraja la iii b - somo la huduma ya chakula vinywaji na mauzo (food and bevarage, sales and services) (re-advertised) - 28 post

Vacancy Details

POST:

MWALIMU DARAJA LA III B - SOMO LA HUDUMA YA CHAKULA VINYWAJI NA MAUZO (FOOD AND BEVARAGE, SALES AND SERVICES) (RE-ADVERTISED) - 28 POST

EMPLOYER:

MDAs & LGAs

APPLICATION TIMELINE::

2025-02-10 2025-02-20

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango

wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;

ii. Kutengeneza na Kufaragua zana za kufundishia na kujifunzia;

iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya

Wanafunzi;

iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;

v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri

nasaha na unasihi;

vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;

vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na

viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwamwenyechetichamafunzo ya StashahadayaUalimuyenyesomolakufundishialaChakulana vinywaji, mauzo na huduma “Foodandbevarage, sales and services”kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.

 

AUWenyeStashahadaisiyoyaUalimukatikafaniyaHudumayaChakula,vinywaji na mauzo “Food and bevarage, sales and services”. Waombaji ambao hawana somo la UALIMU ni lazima wawe tayari kupata mafunzo ya UALIMU baada ya kuajiriwa

REMUNERATION:

TGTS-C

CLICK HERE TO APPLY