Vacancy Details
POST:
MWALIMU DARAJA LA III B - SOMO LA UCHOMELEAJI NA UTENGENEZAJI WA VYUMA (WELDING AND METAL FABRICATION)(RE-ADVERTISED) - 13 POST
EMPLOYER:
MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE::
2025-02-10 2025-02-20
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
ii.Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;
iii.Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;
iv.Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
v.Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;
vi.Kutoa ushauri wa Kitaalamu na kutaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
vii.Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za Shule;
viii.Kazi nyingine atakazopangwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwamwenyechetichamafunzo ya StashahadayaUalimuyenyesomolakufundishiala “Mechanical Engineering” kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.
AU Wenye Stashahada isiyo ya Ualimu katika fani ya ‘’Mechanical Engineering’’. waombaji ambao hawana somo la UALIMU ni lazima wawe tayari kupata mafunzo ya UALIMU baada ya kuajiriwa.
REMUNERATION:
TGTS-C