Vacancy Details
POST:
MWALIMU DARAJA LA III B - SOMO LA UMEME WA MAGARI (AUTO ELECTRICAL) (RE-ADVERTISED) - 3 POST
EMPLOYER:
MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE::
2025-02-10 2025-02-20
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango
wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
ii. Kutengeneza na Kufaragua zana za kufundishia na kujifunzia;
iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya
Wanafunzi;
iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri
nasaha na unasihi;
vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na
viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwamwenyechetichamafunzo ya StashahadayaUalimuyenyesomolakufundishialaUmemewa magari “Auto Electrical” kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.
AUWenyeStashahadaisiyoyaUalimukatikafaniSomolaUmemewaMagari“Auto Electrical”. Waombaji ambao hawana somo la UALIMU ni lazima wawe tayari kupata mafunzo ya UALIMU baada ya kuajiriwa
REMUNERATION:
TGTS-C