AjiraMpyaLogo

mwalimu daraja la iii b - somo la upakaji rangi na uandikaji maandishi (painting and sign writing) (re-advertised) - 6 post

Vacancy Details

POST:

MWALIMU DARAJA LA III B - SOMO LA UPAKAJI RANGI NA UANDIKAJI MAANDISHI (PAINTING AND SIGN WRITING) (RE-ADVERTISED) - 6 POST

EMPLOYER:

MDAs & LGAs

APPLICATION TIMELINE::

2025-02-10 2025-02-20

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango

wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;

ii. Kutengeneza na Kufaragua zana za kufundishia na kujifunzia;

iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya

Wanafunzi;

iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;

v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri

nasaha na unasihi;

vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;

vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na

viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwamwenyechetichamafunzo ya Stashahada ya Ualimu yenye somo la kufundishia la upakaji rangi na uandikaji maandishi “Painting and sign writing” kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.

 

AU Wenye Stashahada isiyo ya Ualimu katika fani Somo la Upakaji Rangi na UandikajiMaandishi“PaintingandSignWriting”.Waombajiambaohawanasomola UALIMU ni lazima wawe tayari kupata mafunzo ya UALIMU baada ya kuajiriwa

REMUNERATION:

TGTS-C

CLICK HERE TO APPLY