AjiraMpyaLogo

mwalimu daraja la iii b - somo la useremala (carpentry and joinery)(re-advertised) - 33 post

Vacancy Details

POST:

MWALIMU DARAJA LA III B - SOMO LA USEREMALA (CARPENTRY AND JOINERY)(RE-ADVERTISED) - 33 POST

EMPLOYER:

MDAs & LGAs

APPLICATION TIMELINE::

2025-02-10 2025-02-20

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango

wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;

ii. Kutengeneza na Kufaragua zana za kufundishia na kujifunzia;

iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya

Wanafunzi;

iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;

v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri

nasaha na unasihi;

vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;

vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na

viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa mwenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita ambaye amefaulu masomo mawili au zaidi yanayofundishwa shuleni na kufaulu mafunzo ya Stashahada ya Ualimu ya miaka miwili (2) yenye somo la kufundishia la “Carpentry and Joinery” kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.

REMUNERATION:

TGTS-C

CLICK HERE TO APPLY