AjiraMpyaLogo

mwalimu daraja la iii c - somo la utengenezaji wa nguo (textile) - 1 post

Vacancy Details

POST:

MWALIMU DARAJA LA III C - SOMO LA UTENGENEZAJI WA NGUO (TEXTILE) - 1 POST

EMPLOYER:

MDAs & LGAs

APPLICATION TIMELINE::

2025-02-10 2025-02-20

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;

ii. Kutengeneza na Kufaragua zana za kufundishia na kujifunzia;

iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya wanafunzi;

iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;

v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;

vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;

vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na

viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu(BachelorofEducation)yenyelaSomola kufundishia la “Textile” kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

 

AUShahadaisiyo yaUalimu/Elimu yenyesomo la kufundishia laSomo la kufundishia “Textile”.Pamojana Stashahada ya Uzamiliya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali.

 

AU Wenye Shahada isiyo ya Ualimu katika fani ya somo la kufundishia la “Textile”.Waombajiambaohawanasomola UALIMUnilazimawawe tayari kupata mafunzo ya UALIMU baada ya kuajiriwa.

REMUNERATION:

TGTS- D

CLICK HERE TO APPLY