AjiraMpyaLogo

tabibu wa meno daraja la ii (dental therapist ii) - 49 post

Vacancy Details

POST:

TABIBU WA MENO DARAJA LA II (DENTAL THERAPIST II) - 49 POST

EMPLOYER:

Wizara ya Afya

APPLICATION TIMELINE::

2025-03-06 2025-03-19

JOB SUMMARY:

NA

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i    Kazi zote zinazofanywa na Tabibu Msaidizi;
ii    Kutambua na kutibu magonjwa ya kawaida;
iii    Kusimamia utendaji wa watumishi walio chini yake na kufanya  
      upasuaji mdogo;
iv    Kushiriki katika kupanga na kutekeleza Huduma za Afya Msingi;
v    Kushauri na kuhamasisha wananchi kuchangia huduma za Afya 
      za Mfuko wa Afya ya Jamii;
vi    Kuweka kumbukumbu za vifaa na zana za kutolea huduma;
vii    Kuweka kumbukumbu, kuandaa na kutoa taarifa za utekelezaji; na
viii    Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne/sita wenye Stashahada Utabibu Meno ya muda wa miaka mitatu kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION:

TGHS B

CLICK HERE TO APPLY